SERIKALI ya Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia nchini Niger, taifa linaloongoza kwa urani barani Afrika lakini likitegemea um . . .
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuimarisha usalama kwenye migodi ya madin . . .
MADAKTARI Bingwa nchini China wamefanikiwa kupandikiza mapafu kutoka kwa nguruwe kwenda kwa binadamu. Kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa Ma . . .
WAGOMBEA ubunge katika majimbo mbalimbali wamechukua fomu za kuomba uteuzi kugombea nafasi hiyo.Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Doto . . .
KUELEKEA KATIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI KURA ni nyenzo muhimu zaidi ya mwananchi katika kuimarisha na kuwezesha demokrasia imara. . . .
KATIKA uchaguzi wowote duniani, vyombo vya habari vina dhima na mchango mkubwa wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi zinazohusu uc . . .
OFISI ya Msajili mkuu wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Uchagu . . .
JESHI la Polisi nchini limetoa wito kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu kuzingatia muda na ratiba ya kampeni waliyo . . .
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Dk Emmanuel Nchimbi, kugombea nafasi ya ura . . .
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu Kailima R.K, amefunga kikao cha siku mbili cha Tume na Vyama vya Siasa . . .
Wananchi wa kata ya Nyakato mtaa wa NHC, uliopo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea jengo jipya la mama na . . .
Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Wilaya ya Ilemela kwa umbali wa zaidi ya kilometa 48.8, ambapo utazindua na kuweka mawe ya msingi k . . .
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mafia mkoani Pwani Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan leo August 26 mwaka huu Ikulu Jijini Dodoma amemuapisha CPA Amos Gabriel Mak . . .
Shirika la Ndege la Southwest Airlines Nchini Marekani, limetangaza sera mpya ambayo itawaathiri moja kwa moja Wasafiri wenye miili mikubwa . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini amri ya kiutendaji (Executive Order), inayopiga marufuku kitendo cha kuchoma bendera ya nchi hiy . . .
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, . . .
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameomba radhi kufuatia shambulizi lililofanywa na vikosi vya ulinzi vya nchi yake katika Hospitali . . .
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa mtazamo kuhusu uhusiano kati ya haki, amani, na mchakato wa uchaguzi nchini . . .
MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul 'Harmonize', ameungana tena kimuziki na mrembo mwenye kipaji Abigail Chamungwana 'Abigail Chams' kwenye k . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Mhe. Waziri Kombo amepongeza ushirikiano wa Tanzania . . .
KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imetoa ufadhili wa programu ya mafunzo ya usalama barabarani kwa maofisa usafirishaji 932 kiteng . . .
WAENDESHA Mashtaka wa Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameiomba Mahakama ya Kijeshi kutoa hukumu ya kifo kwa Rais wa z . . .
Mbio za kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 zimeanza kuchukua njia yake katika Jimbo la Kalenga, baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, . . .
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amepongeza tamasha la ‘Dream Car’ lililofanya wilayani Kilolo hivi karibuni akilielezea kama mkakat . . .
SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania(TTCL) limejikita zaidi katika kupeleka huduma za mawasiliano nchi nzima haswa maeneo ya vijijini ambayo . . .
Kufuatia madai ya kutekwa na watu wasiojulikana kwa mwimbaji wa nyimbo za injili Elisha Juma mkazi wa Mtaa wa Kadisi, Kata ya Katente wilaya . . .
Zaidi ya washiriki 500 na wengine 100 kutoka nchi za nje wanatarajiwa kushiriki maonesho ya 20 ya Biashara kwa lengo la kufungua fursa kwa w . . .
Moria maarufu kama Mama Yusta anasakwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kwa madai ya kumng’ata mdomoni Kanisia Hinju (30) mkazi wa Kihul . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva wa tano wa magari yanayosafirishwa njeya Nchi (IT) kwa makosa ya kusafirisha abiria b . . .
Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa Mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manisp . . .
Marais watatu wastaafu nchini Somalia Sharif Sheikh Ahmed, Abdiqasim Salad Hassan na Mohamed Abdullahi Farmaajo wameungana kutoa tamko dhidi . . .
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) wamesema mamilioni ya wafanyakazi dunia wamekuwa wanakumbana na . . .
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amezindua rasmi uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu ujulikanao kama Nsekela Stadium uliojengwa na . . .
NCHINI Colombia , watu 18 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na kundi la waasi.Akizungum . . .
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewakumbusha waombaji wa mikopo na ufadhili wa Samia Scholarship kuwa dirisha la maombi . . .
Rapa na Emcee kutoka Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe Rhyme Assassin ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Be Might Kup . . .
Mtanzania Juma Hamad maarufu kama Jayzow ameshinda tuzo ya Kimataifa katika tuzo za GMA ( Ghana Merit Awards 2025 ) zilizofanyika Nchini . . .
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) @airtanzania_atcl imezindua rasmi safari za moja kwa moja kutoka Dar es salaam hadi Pemba kupitia Unguja, s . . .
Marekani imesitisha uchakataji wa Maombi ya Visa nchini Zimbabwe mpaka hapo taarifa kwa kina itakapo tolewa ambapo Ubalozi wa Marekani mjini . . .