logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 26, 2025

Jeshi la Polisi lawashukuru Watanzania kwa ushirikiano

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa shukrani kwa wananchi wote nchini kwa ushirikiano waliouonyesha katika kulinda na kudumisha amani kipindi c . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 26, 2025

Myanmar kufanya uchaguzi mkuu wake wa kwanza Jumapili

Upigaji kura utafanyika katika sehemu mbalimbali kwa awamu tatu, ambapo awamu ya pili itakuwa Januari 11 na ya tatu Januari 25.Wakosoaji wan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 26, 2025

Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, ahukumiwa

Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, amehukumiwa tena Ijumaa kwa makosa ya ufisadi yanayohusiana na uporaji wa mabilioni ya dola . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 26, 2025

Trump atangaza vikosi vya Marekani kuishambulia IS, Nigeria

Rais wa Marekani Donald Trump amesema vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi makali dhidi ya kundi linalojiita dola la kiislam IS kaskaz . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 26, 2025

Mechi za Mzunguko wa pili AFCON 2025 kuendelea hii leo

Mechi ya awali kabisa hii leo ni kati ya Angola dhidi ya  Zimbabwe timu hizi za kundi zinakutana baada ya kila mmoja kuchapwa kati . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 26, 2025

Guinea kufanya uchaguzi mkuu wiki hii

Jumla ya watu milioni 6.8 katika taifa hilo la Afrika Magharibi wanatarajiwa kujitokeza siku ya Jumapili majira ya 7:00 asubuhi hadi saa 6:0 . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 26, 2025

Mwanaume Aliyeiona Dunia Maili kwa Maili kwa Baiskeli

Kwa zaidi ya nusu karne maisha ya Heinz Stücke raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 85 yamejikita katika safari isiyo ya kawaida—kuizun . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 26, 2025

Krismasi Yageuka Taharuki Davao City

Katika tukio lililozua mshangao mkubwa mwanaume mmoja ambaye utambulisho wake bado haujafahamika amenaswa akitembea juu ya nyaya za umeme ka . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 26, 2025

Krismasi Yawaletea Kifungo Madereva Wanne Morogoro

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva wanne kwa kosa la kuendesha vyombo vya moto wakiwa chini ya ushawishi wa ulevi katika . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 25, 2025

Watoto Tisa Wazaliwa Mkesha wa Krismasi Tarime

Watoto tisa wavulana watano na wasichana wanne wamezaliwa salama usiku wa mkesha wa Krismasi katika Hospitali ya Halmashauri ya Tarime Mjini . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 25, 2025

Ukuta wa Kanisa Waanguka Chamwino, Wanne Wafariki

Dodoma Watu wanne wamepoteza maisha huku wengine 18 wakijeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa kanisa wakati wa ibada ya ubatizo iliyofany . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 25, 2025

AFCON 2025 Yaendelea Kupamba Moto Morocco

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inaendelea kushika kasi nchini Morocco, huku mashindano hayo yakizidi kuvutia mashabiki . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 25, 2025

Watu Watano Wafariki Baada ya Helikopta Kuanguka Mlima Kilimanjaro

Watu watano wamepoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyoanguka katika Mlima Kilimanjaro,mlima mrefu zaidi barani Afrika katika tukio . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • December 24, 2025

Miaka kumi ya Jembefm

Safari ya muongo mmoja wa kuelimisha, kuburudisha na kuunganisha jamii. Tunaendelea kuwashukuru  wasikilizaji wetu, wadau na familia y . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • December 24, 2025

Madhara ya kichokonoo kwenye meno

KILA wakati baada ya kula chakula, watu wengi hutumia kichokonoo (toothpick) kuondoa mabaki ya chakula katikati ya meno.Hata hivyo, Dkt Sera . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • December 24, 2025

Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

CHAGUZI za UDA zilizopangiwa kufanyika Mlima Kenya huenda zikawa jukwaa la wanasiasa kupimana ubabe hali ambayo inaweza kusababisha migawany . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 24, 2025

Utaratibu wa mapitio ya kesi ya Waziri Mkuu Ousmane Sonko wafunguliwa

Nchini Senegali, je, Ousmane Sonko anaweza kufutiwa mashitaka yanayomkabili miezi sita baada ya hukumu ya mwisho kwa kashfa mnamo mwezi Jula . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 24, 2025

Ndege za Marekani zafanya ukaguzi juu anga ya Nigeria

Kulingana na uchunguzi wa shirika la habari la Reuters, ndege ya kijeshi ya Marekani imekuwa ikiruka mara kwa mara juu ya anga ya Nigeria ka . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 24, 2025

TANZANIA NA UGANDA ZAANZA AFCON 2025 KWA KICHAPO

Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) yameanza vibaya kwa mataifa ya Afrika Mashariki, Tanzania na Uganda, baada ya timu hiz . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 24, 2025

MKUU WA MAJESHI YA LIBYA AFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE NCHINI UTURUKI

Ankara — Mkuu wa Majeshi ya Libya Luteni Jenerali Mohammed al-Haddad pamoja na maafisa wengine wanne wa kijeshi wamefariki dunia usiku wa . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • December 24, 2025

PAPA LEO ATOA WITO WA AMANI WAKATI WA KRISMASI

Baba Mtakatifu Leo ametoa wito kwa watu wote wenye nia njema duniani kuifanya sikukuu ya Krismasi kuwa siku ya amani, akisisitiza umuhimu wa . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • December 24, 2025

Ikiwa Una Mafuta Kwenye Ini hivi hapa Vyakula 5 vya Kuepuka Kula Vibichi

Wataalamu wa afya wanashauri watu wenye ugonjwa wa mafuta kwenye ini (fatty liver) kuepuka kula baadhi ya vyakula vikiwa vibi . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 24, 2025

MWANAMKE ALIYEISHI ZAIDI YA MIAKA 20 BILA FIGO AFARIKI DUNIA

 Asia Mustapha, mwanamke aliyepambana na maradhi ya figo kwa zaidi ya miaka 20 na kutegemea huduma ya kusafisha damu kwa mashine (dialy . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 23, 2025

Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram zikidai kuwa gari . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 23, 2025

Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

Serikali imepiga hatua kubwa katika kulinda afya na ustawi wa wazee baada ya kufanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure pamoja na bi . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • December 23, 2025

Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

KUNYWA hadi vikombe vinne vya kahawa kwa siku huenda kukasaidia kupunguza kasi ya uzee wa kibayolojia kwa watu wanaoishi na maradhi ya akili . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 23, 2025

Familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo, kuasili zaitwa kutuma maombi

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imezitaka familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo na kuasi . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 23, 2025

Kalonzo "Sikuweka lami barabara ya kwangu Tseikuru sababu sijatawaliwa na ubinafsi"

KIONGOZI wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka amejitetea dhidi ya shutumu kuwa hajatekeleza miradi ya maendeleo kwa miaka 40 aliyodumu uongozini aki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 23, 2025

Zelenskyy" Urusi itashambulia wakati wa Krismasi"

Rais Volodymyr Zelenskyy amesema anategemea Urusi itafanya mashambulizi makali ndani ya Ukraine wakati wa sherehe za sikukuu ya Krismasi, ak . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 23, 2025

Tanzania, Uganda na Kongo kutupa karata zao AFCON

Wawakilishi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika - AFCON 2025, wanatupa karata zao za kwan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 23, 2025

Mzozo kati ya Washington na Abuja 'umetatuliwa kwa kiasi kikubwa,' yatangaza serikali

Mzozo wa kidiplomasia kati ya Marekani na Nigeria "umetatuliwa kwa kiasi kikubwa," kulingana na Waziri wa Habari wa Nigeria Mohamed Idris, a . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Kafiti Wilium Kafiti, ametoa msaada wa pikipiki 100 kwa vijana wa Mkoa wa Mwanza katika tukio lililovuta hisia n . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 22, 2025

Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

Mwili wa marehemu, Patric Francis, umekutwa unaning'inia ndani ya banda la mbuzi nyumbani kwao, alipokuwa akiishi na wazaazi wake.Patrick Fr . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 22, 2025

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Familia za waathiriwa wa maandamano ya kupinga serikali zimetangaza nia yao ya kuandamana hadi ikulu ya rais leo Jumatatu, Desemba 22, kuomb . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Serikali ya Rwanda imefunga zaidi ya makanisa 10,000 ya kiinjili nchini humo baada ya kubainika kushindwa kutimiza masharti ya kisheria yali . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dk. Benson Bagonza, amewataka Watanzania kujiepusha na tabia a . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Jeshi la Polisi wilayani Babati mkoani Manyara linafanya uchunguzi kubaini chanzo cha kifo cha Patrick Francis (35), mkazi wa kijiji cha Map . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Mkuu wa Mkoa wa Mara  Kanali Evans Mtambi   ameagiza wilaya za Tarime na Rorya kulipisha jengo linalomilikiwa na Chama Kikuu . . .

Jamii
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Kuanzia SUV hadi minivan, magari ya kutoka nje yaliyotumika yameendelea kuwa chaguo la Watazania wengi mwaka 2025. Orodha hii inat . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Faida za Maji ya Nazi kwa Wagonjwa wa Gauti Unazopaswa Kujua

Gout ni ugonjwa wa kimetaboliki unaosababishwa na kuongezeka kwa kiwango cha asidi ya uric (uric acid) kwenye damu ambapo Asidi hi . . .

Kurasa 9 ya 221

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category