logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 13, 2025

BOOST yaleta mageuzi makubwa elimu ya msingi

Mratibu wa Mradi wa BOOST kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Ally Swalehe amesema Programu ya BOOST imeendelea kuleta matokeo makubwa katika kubo . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 13, 2025

Serikali yaendelea kuwawezesha vijana kupata fursa za maendeleo

Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kutekeleza mikakati ya kuhakikisha . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 13, 2025

Matinya aongoza mkutano wa biashara baina ya Nordic na Afrika Jijini Oslo

Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Balozi Mobhare Matinyi Oktoba 9 mwaka huu aliongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Biashara kati . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • October 13, 2025

TARI yatoa mafunzo ya urushaji wa ndege nyuki za kilimo

Wizara ya Kilimo imeendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za kisasa katika uzalishaji wa mazao ikitoa mafunzo ya urushaji wa ndege nyuki . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • October 13, 2025

Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Jamhuri

Pingamizi lililowekwa siku ya Ijumaa na upande wa  Jamhuri kuhusiana na maombi ya mshtakiwa Tundu Lissu ambaye amekuwa  akijitetea . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 13, 2025

Pingamizi la Jamhuri kesi ya Lissu uamuzi kutolewa leo

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu amepandishwa kizimbani asubuhi hii ya leo Oktoba 13 mwaka huu katik . . .

NGUMI
  • Na Jembe Digital
  • October 13, 2025

Knock Out ya Mama yaendelea kuitangaza ngumi ya Tanzania

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa amesema Michezo ni ajira uchumi . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 13, 2025

Billion 119 zatengwa kutekeleza miradi 13 ya dharura mkoani Lindi

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inaendelea na utekelezaji wa ujenzi wa miradi 13 ya dharura katika mkoa wa Lindi amb . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2025

Marioo Atoa Kauli Nzito Kuhusu Mke Wake

Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuandika ujumbe mrefu wenye hisia kali kupitia ukurasa wak . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 13, 2025

Wanajeshi 15 wa Pakistan wauawa katika mapigano makali na Taliban mpakani

Wanajeshi 15 wa Pakistan wameuawa katika mapigano makali kati ya vikosi vya Taliban na jeshi la Pakistan karibu na mpaka wa Durand, baada ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2025

Waziri Mchengerwa Ataka Mabadiliko Ya Haraka Huduma Ya Usafiri Jiji La Dar

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Oktoba 14, 2025 amekutana na viongozi wapya wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DA . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

Dallu atangaza kutoweka kwa Padri Camillus

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la Songea Damian Dallu aatangaza kuhusu tukio la kutoweka kwa Padri Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

Siku ya Afya ya Akili Duniani

Ufunguo wa maisha ya kila mmoja wetu yanapatikana kwa njia ya utulivu na uwiano uliopo katika kutunza afya ya akili kwa umakini na uangalizi . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

Kijana mbaroni kwa tuhuma za kubaka wanawake wanne

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia kijana aitwaye Piere Saimoni (20) mkazi wa Nzuguni B kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya u . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

Bilioni 19 zatumika kujenga vyuo vya vyeta vinne

Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekabidhi Vyuo vinne vya Ufundi Stadi na Huduma kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya U . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

Sera mpya yawekwa kuimarisha sekta ya misitu nchini

WIZARA ya Maliasili na Utalii imeweka mikakati madhubuti katika utekelezaji wa Sera mpya ya Misitu na Ufugaji Nyuki ili kuimarisha usimamizi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

MKAKATI SHIRIKISHI KUANZISHWA ILI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkat. Batilda Burian amewataka Viongozi wa Vijiji na Kata kwa kushirikiana na Viongozi wa Wilaya kuhakikis . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • October 10, 2025

Maamuzi magumu ya Kalonzo akiwaniwa kama mpira wa kona kwa ajili ya 2027

KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amejipata tena katika hali tata ya kisiasa anapojiandaa ama kuwania urais au kuamua ni nani at . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 10, 2025

KNH yalemewa na wagonjwa migomo ikiendelea Nairobi, Kiambu

HOSPITALI ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) imejipata katika hali ngumu kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa wanaofika kwa wingi, hasa ku . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 10, 2025

Aggy Baby Afichua Ukweli! Asema Poshy Hajaolewa, Ile Ilikuwa Kiki Tu!

MSANII wa Bongo Muvi, Agness Suleiman Kihamba maarufu kama Aggy Baby ameendelea kusisitiza kuwa mrembo wa mitandaoni Poshqueeen hajaolewa, a . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 10, 2025

Bilionea wa Nigeria Afunga Ndoa na Mke wa 19, Atetea Ndoa za Wake Wengi

 Mfanyabiashara maarufu na bilionea Chief Jite Odeworitse Tesigimoje, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya GIM Brown Marine, ameibua mjada . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 10, 2025

TFF Yaruhusu Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Kutumika Kwa Michezo ya Ligi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo mkoani Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 10, 2025

Rais Dina Boluarte atimuliwa mamlakani na Bunge

Rais wa Peru Dina Boluarte ametimuliwa usiku wa Alhamisi, Oktoba 9, kuamkia Ijumaa, Oktoba 10, kwa kura nyingi za wabugne, kufuatia hoja kad . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 10, 2025

Uchaguzi wa urais Côte d'Ivoire Kampeni zaanza

Kampeni za uchaguzi nchini Côte d'Ivoire zinaanza leo Ijumaa, Oktoba 10. Uchaguzi wa urais utafanyika Jumamosi, Oktoba 25. Kabla ya hapo, k . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

MSAJILI HAZINA ASHIRIKI UZINDUZI UJENZI MGODI WA MADINI KINYWE

 Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya kinywe (graphite) uliofanywa na . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

Watumishi wa umma wasisitiza kuzingatia misingi ya Uadilifu

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Juma Mkomi amewakumbusha Watumishi wa Umma kupitia Vyombo mbalimbali vya Habar . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

Mkurugenzi wa mashtaka asisitiza nidhamu kwa wafanyakazi

Mkurugenzi wa Mashtaka, Bw. Sylvester Mwakitalu amewataka wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kudumisha nidhamu kwa kufuata taratibu k . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 10, 2025

Katibu mkuu afurahishwa na ubunifu wa Vijana

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu  Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Mary Maganga,ametembelea mabanda ya vijana katika Maadhimisho . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Uwekezaji wa Serikali wafikia trilioni 92.3

Uwekezaji uliofanywa na serikali ndani na nje ya nchi umeongezeka kwa asilimia 7 hadi kufikia Sh92.29 trilioni Juni 30 mwaka huu kutoka Sh86 . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Samia aeleza sababu Soko Lamadi kutojengwa

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan amesema ujenzi wa soko la Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu umechelew . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Tanzania kufanya majadiliana na Marekani kuhusu Viza

Serikali ya Tanzania imesema itafanya mazungumzo na Serikali ya Marekani kuhusiana na utaratibu uliowekwa kwa Tanzania na nchi zingine za Af . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Serikali yaweka mikakati kudhibiti utoroshaji wa madini nchini

WATAALAMU kutoka taasisi mbalimbali za serikali wamefanya kikao cha kujadili mikakati ya kudhibiti utoroshaji wa madini nchini, chini ya uon . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Zanzibar kuimarisha uchumi wa buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Rais Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya sekta ya . . .

Utalii
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

TANAPA waja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa V . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

TFF yatoa mwongozo wa Kupima Jinsia Kuanza Rasmi Msimu wa 2026/27

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi likibainisha kuwa mwongozo wa kupima na kuthibitisha jinsia za wachezaji wa kike uta . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Nnaji Waziri wa Nigeria Ajiuzulu Baada Ya Kughushi Vyeti

 Waziri wa Nigeria wa Ubunifu Sayansi na Teknolojia Uche Nnaji  amejiondoa madarakani siku chache baada ya kuibuka kwa madai ya kw . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Ronaldo Avunja Rekodi kuwa mchezaji bilionea duniani

Mshambuliaji nyota wa Ureno na klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ametajwa kuwa mchezaji wa kwanza wa soka kufikia hadhi ya bilionea, kwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Mjukuu wa Mandela Afichua Ukatili

 Wanaharakati sita wa Afrika Kusini waliokamatwa na Israel walipokuwa wakijaribu kufika Gaza kupitia msafara wa misaada wamesema walite . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 9, 2025

Kuelekea Siku Ya Posta Duniani shirika la Posta Tanzania Latoa Msaada Hospitali ya Ocean Road

Shirika la Posta Tanzania limetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya W . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

Kiongozi wa wanamgambo Sudan apatikana na hatia ya uhalifu wa kivita

KIONGOZI wa wanamgambo wa Sudan amepatikana na hatia ya kufanya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu katika eneo la Darfur zaidi y . . .

Kurasa 16 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category