Mchakato wa kuwapata wabunge viti maalumu kwa mkoa wa Lindi umetamatika baada ya mtangazaji wa Clouds Media, Kijakazi Yunus kushinda kwa kur . . .
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani kwa hasira na huzuni kubwa kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekele . . .
Msanii wa Bongo Fleva nchini, Maua Sama, amezua maswali kadhaa kwa mashabiki wake kuhusu kile alichokiandika katika ukurasa wake wa Instagra . . .
Thailand imeishutumu Cambodia leo Jumatano, Julai 30, kwa "ukiukaji wa wazi" wa usitishaji mapigano uliotekelezwa kati ya nchi hizo mbili ji . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Agosti 13, 2025 kutoa uamuzi juu ya hoja zilizoibuliwa baina ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu . . .
Kusaidia uwiano sahihi wa pH ya mwili kuuwezesha kufanya shughuli mbalimbali.Ina vitamin C na kemikali mimea ambayo husaidia kutibu mafua na . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, mwaka huu, kutoa nafasi ya uteuzi wa wagombea wa nafasi hiyo.Taarifa ya . . .
RAIA wa Jamhuri ya Korea Kusini, wametoa mafunzo ya matumizi ya Akili Unde (AI) kwa wanafunzi 50 wa Uhandisi wa Chuo cha Ufundi cha Arusha ( . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Crispin Chalamila, amesema kuwa kukosekana kwa maadili katika ngazi y . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hakubaliani na kauli ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kwamba hakuna njaa huko Gaza. Aki . . .
Leo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, amefanya mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Johari Rotana, amb . . .
Wanajeshi wasiopunguwa watatu wa Ukraine wameuawa na kumi na wanane kujeruhiwa katika shambulio la Urusi siku ya Jumanne, Julai 29, dhidi ya . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amezindua rasmi kiwanda kikubwa zaidi cha uchenjuaji wa ma . . .
RAIS wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ametangaza rasmi nia ya kuwania tena urais kwa muhula wa nne katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufan . . .
SERIKALI ya Urusi imedai kuwa Rais Vladimir Putin ana dhamira ya kweli ya kupatikana kwa amani kati ya nchi yake na Ukraine, licha ya masham . . .
UJERUMANI , Ufaransa na Uingereza zinapanga kuwatuma mawaziri wao wa mambo ya nje katika Ukanda wa Gaza wiki ijayo, ikiwa ni juhudi za kushi . . .
SERIKALI imetoa amri ya katazo la wasio raia wa Tanzania kufanya biashara za aina 15 smri hiyo imechapishwa Julai 28, mwaka huu katika Gazet . . .
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Moses Kusiluka amesema serikali inaboresha utaratibu wa utumishi wa umma kwamba ili mtumishi apande daraja a . . .
TETEMEKO kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.7 kwenye kipimo cha Richter limeripotiwa mapema leo nchini Urusi katika Rasi ya Kamchatka, na kusa . . .
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Baba Levo ametoa ombi lake kubwa kwa wasanii mbali mbali hapa nchini baada ya jina lake kupitishwa kati y . . .
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, ameahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tun . . .
MSANII wa Muziki wa Popnchini Marekani, Katty Perry, hatimaye “amezama” katika penzi jipya na Waziri Mkuu mstaafu wa Canada, Justin Tr . . .
SAKATA la Rapa Jay Z na Kijana anayedai kuwa ni Mtoto wake halali hatimaye limefikia ukumbini baada ya Kijana huyo kuiomba mahakama kufuti . . .
Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) limetakiwa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaj . . .
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewataja Funti Majala, Amina Bakari, Hamis Mkotya, Juma Nkamia, . . .
Mbunge wa Kisesa mkoani Simiyu, Luhaga Mpina ni miongoni mwa watiania wa ubunge CCM ambao majina yao si miongoni mwa yaliyopitishwa na Kamat . . .
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imepitisha rasmi jina la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na . . .
Katika taarifa rasmi iliyotolewa leo Julai 29 mwaka huu katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu jijini Dodoma imeelezwa kuwa w . . .
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka ametoa maagizo sita (6) kwa Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma yenye lengo la kuongeza ufani . . .
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imepitisha rasmi majina ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwe . . .
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amewaasa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kufanya kazi kw . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kati yao wanaume 7 na wanawake 4 wakiw . . .
Tume ya uchaguzi ya Cameroon, ELECAM, imetangaza kuwa mwanasiasa wa upinzani Maurice Kamto amezuiliwa kushiriki katika kinyang'anyiro cha uc . . .
Makubaliano ya hivi karibuni ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, yana . . .
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwa katika chumba cha Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Sa . . .
Mwanamke mmoja nchini Marekani ameamua kufungua mashitaka dhidi ya wanandoa wawili na waandaaji wa harusi aliyohudhuria kuwa kutokuifurahi . . .
VIKOSI vya kulinda usalama msituni Boni, Kaunti ya Lamu, vimezidisha msako dhidi ya magaidi wanaohusishwa na kundi la Al-Shabaab, baada ya j . . .
Msanii na Mtayarishaji wa Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania (Bongo Fleva), Mocco Genius amewauliza wadau na mashabiki wa muziki huo k . . .
WATANZANIA wametakiwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango ili kuiwezesha nchi kutekeleza kwa ufanisi malengo mahususi yaliyoainishwa katik . . .
MAMLAKA ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) imeonya wamiliki wa maduka ya dawa muhimu kuacha uuzaji wa dawa ambazo haziruhusiwi kwa mujibu wa sheria . . .