Serikali imesema imefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu kwa kutumia vilipuzi (blast fishing) katika Ukanda wa Bahari ya Hindi ambapo kwa sasa hali hiyo imedhibitiwa kuanzia vyanzo, wasambazaji na watumiaj . . .
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutembelea mradi wa mwendokasi kuangalia kero wanazopitia wananchi.Kwamujibu wa Taarifa y . . .
Ikiwa Serikali ya Kinshasa ilikuwa ikimshutumu Kabila kwa madai ya uhaini, uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu pamoja na kushirikiana na kundi linaloendesha uasi huko nchini.Sasa bar . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society (FCS) Justice Rutenge amesema maadhimisho ya Wiki ya AZAKi 2025 yatalenga kujadili Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 ambayo yamebebwa na kauli mbiu ya . . .
Katika harakati za kudhibiti janga la njaa na kukomesha umasikini ni vyema kuharakisha maendeleo vijijini na kujenga uhusiano wa mataifa kushirikiana kwa pamoja na kuimarisha miundombinu k . . .
Serikali ya Tanzania imemuachia huru na kutumia usafiri wa gari kumsafirisha mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi ambaye sasa amepatikana Ukunda Kaunti ya Kwale nchini Kenya akiwa katika hali . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo May 22, 2025 ameondoka nchini kwenda Japan kumwakilisha Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maonesho ya World Expo 2025 Osaka.PM Majaliwa atashiriki pia ka . . .
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amewataka Watanzania kuitumia siku ya leo Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika Vituo vya Wapiga Kura i . . .
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, anatarajia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kesho Mei 23 na 24.Taarifa iliyotolewa na Chama hicho leo Mei 22 im . . .
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Wizara ya Afya, Dkt. Caroline Damian amezindua Kamati ya Ushauri ya Usajili wa Saratani (ACCR) yenye lengo la kuimarisha Usajili wa Saratani nchini kupit . . .
Kati ya wagombea waliojitokeza, 18 wanawania nafasi ya urais huku 19 wakigombea nafasi ya Makamu wa Rais. Makamu wa Rais wa sasa, Ikomba Suleiman, amejiunga katika kinyang’anyiro cha urais na atapam . . .
Mbunge wa Viti Maalumu Latifa Juakali amesema baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi hupanda mabasi ya shule bila nafasi ya kuketi kwa mwaka mzima hali inayowaathiri kushuka kimaendeleo na kimaadili.A . . .
Ikiwa ni moja ya kumbukizi zisizoweza kusahaulika kwa Wakaazi wa Kanda ya Ziwa kila ifikapo Mei 21 ya kila mwaka kupoteza wapendwa wao katika ajali ya MV BUKOBA.Hapo jana Mei 21, 2025 imetimia miaka 2 . . .
Bunge la seneti nchini DRC, hivi leo litapiga kura kuamua ikiwa limuondolee kinga rais wa zamani Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kivita pamoja na kushirikiana na waasi wa AFC/M23 wanao . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Mei 21, 2025, ameshuhudia hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa Mkopo kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Be . . .
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Itikadi na Uenezi Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha utekelezaji wa miradi mbalim . . .
Rais wa Marekani Donald Trump alimuuliza Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa pindi walipokutana Ikulu ya White House nchini Marekani May 21,2025 kwamba kama Serikali yake haiungi mkono ubaguzi na ma . . .
Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) imezindua Mafunzo ya Kozi fupi za Uvuvi na kuboresha Miundombinu ya Kampasi hiyo ya Gabimori ikiwa ni pamoja na kujenga Mad . . .
wanakutana nchini Canada kwa mazungumzo yanayojikita katika mzozo wa Ukraine na kuyumba kwa uchumi wa dunia kulikosababishwa na ushuru uliowekwa na rais wa Marekani Donald Trump.Katika mikutano . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Mzee Hashim Rungwe Spunda na Viongozi wengine wa chama hicho akiwamo Kaimu Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA, Devotha Minja tayari wamewasili kweny . . .
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele amewatoa hofu wazazi kuhusu mafunzo yatolewayo na JKT, kwani wanapatiwa vijana wao kwa mujibu wa sheria. Akizungumza leo Mei 21, 2025 . . .
Mahakama ya Katiba nchini DRC imemhukumu siku ya Jumanne, Mei 20 kiongozi wa upinzani na Waziri mkuu wa zamani Augustin Matata Ponyo (2012-2016) kifungo cha miaka 10 ya kazi ya kulazimishwa, kwa ubadh . . .
Bunge la Uganda limepitisha mswada wa sheria kuhusu UPDF, mswada ambao sasa utaruhusu mahakama za kijeshi kusikiliza kesi za kiraia, hatua ambayo imeenda kinyume na uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama . . .
Mkuu wa Wilaya Babati Mkoani Manyara Emmanuela Kaganda amewaonya Madereva wa boda boda wilayani humo kutotumika vibaya na makundi ya wanasiasa wasiokua waadilifu, kuelekea Uchaguzi Mkuu ut . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amefanya mabadiliko ya uongozi kwa kuwateua wakurugenzi wapya wa halmashauri na manispaa 11 katika visiwa vya Unguja na Pemba.T . . .
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu kwenda jela miaka 20 Katibu wa Chama Cha Ushirika cha Msingi (Amcos) Kijiji cha Gula mkazi wa wilayani hiyo Masanja Mboje (36) baada ya kukutwa na . . .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson ameridhishwa na majibu ya Naibu Waziri wa Afya Dk Godwin Mollel kuhusiana na utekelezaji wa Sera ya Afya ya mwaka 2007 ina . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Bw. Francis Alfred Mwakabumbe alisema kuwa ingawa bei ya zao la korosho huathiriwa na mabadiliko ya soko dunia kutokana na kuwa zao la kimataifa lakini tanzani . . .
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah amewasili nchini jana May 20 2025 kwa ajili ya kuanza ziara yake rasmi ya siku mbili kuanzia May 20 hadi May 21, 2025.Ziara hiyo ya . . .
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli lililopo Kigongo-Busisi itakaofanyika June 19 mwaka huu.Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ame . . .